Somalia yakaribia uchaguzi wa moja kwa moja, wakazi wa Mogadishu wachukua kadi za kupiga kura
Somalia imezindua rasmi ugawaji wa kadi za wapiga kura katika mji mkuu, Mogadishu, kuelekea uchaguzi wa manispaa, hatua muhimu katika safari ya taifa hilo kuelekea uchaguzi wa ushiriki wa moja…