Tanzania, DRC zaimarisha masoko biashara ya nafaka
Serikali ya Tanzania imeendelea kupanua wigo wa masoko ya mazao ya nafaka katika ukanda wa...
Serikali ya Tanzania imeendelea kupanua wigo wa masoko ya mazao ya nafaka katika ukanda wa...
Katika mazungumzo yaliyofanyika Berlin, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, amesema kuna nia thabiti ya kisiasa kuendeleza uhusiano wa pande mbili na kufufua mchakato wa Uturuki kujiunga…
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwamo Makamu Mwenyekiti - Bara...
MAAFANDE wa Mashujaa ya Kigoma leo jioni ilishindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kubanwa mbavu nyumbani na Dodoma Jiji na kutoka suluhu, huku kipa wa…
Wakati Serikali ikitangaza mikakati nane ya kukuza uwekezaji katika mwaka 2025/2026, vijana...
Waziri wa mambo ya nje Thabit Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa maendeleo licha ya EU kusitisha misaada, kwani ina vyanzo vingi vya mapato.
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
#KIPIMAJOTO: Vita kiuchumi kikanda na kimataifa. Je, watanzania wajipange vipi kukabiliana nayo ngazi zote?
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Wananchi wa Kata ya Mbezi, hususani maeneo ya Msakuzi, Mpiji Magohe, Msumi na Saranga...
Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko amesema mapinduzi ya wiki hii nchini Guinea-Bissau sio halali na akataka mchakato wa uchaguzi kuruhusiwa kuendelea, hatua inayoongeza sauti ya kikanda dhidi ya mapinduzi…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema leo kuwa anaishinikiza serikali ya Ubelgiji kufikia makubaliano na Umoja wa Ulaya ya kutumia mali ya Urusi iliyofungiwa kuifadhili Ukraine.
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo wa kumi na nne, amelaani ghasia zinazotokea kwa jina la dini wakati wa tukio la kihistoria na viongozi wa Kikristo kutoka Mashariki…
Mahakama ya rufaa ya Tunisia imewahukumu vifungo vya hadi miaka 45 jela viongozi wa upinzani, wafanyabiashara na wanasheria, hatua inayotajwa kuwa ishara ya kuongezeka kwa utawala wa kimabavu wa Rais…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema taasisi zote zilizo chini ya wizara yake zinapaswa kujikita kwenye uchumi shindani wa viwanda kwa kuongeza ubunifu na ufanisi, ili kuzalisha bidhaa…
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeanza safari ya kutekeleza mkakati wa kutoa elimu...
Tanzania imewaeleza washirika wake wa kimataifa kuwa itaendeleza kwa nguvu mpya ushirikiano wa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha joto...
ARUSHA, TANZANIA has received 152,223 domestic and international tourists just three weeks of November. The Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji who visited the Ngorongoro Conservation Area…
Kampeni za urais nchini Uganda zinazidi kupamba moto huku umati mkubwa ukijitokeza kuwafuatilia Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake mkuu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine. Rangi za njano na nyekundu…
#HABARI: Serikali imeendelea kuanzisha Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, kuanzia ngazi ya Vijiji/Mtaa, Kata, Wilaya na Mkoa ambapo katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, jumla ya Majukwaa 15,147 yameanzishwa,…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasimamisha kwa muda wageni kutokea nchi alizoziita "masikini" kuhamia huko, siku moja baada ya raia wa Afganistan kudaiwa kuwapiga risasi wanajeshi wawili wa ulinzi…
DAR ES SALAAM: WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji imeiagiza Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (TISEZA) kuhakikisha inavutia uwekezaji wenye thamani ya Dola…
#HABARI: Rais William Ruto amewakejeli viongozi wa upinzani kwa kuwabwaga katika chaguzi ndogo zilizokamilika jana katika maeneo bunge tofauti nchini Kenya. Wagombea wa vyama vya UDA na ODM wakiibuka na…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Wadephul, ameahidi kuimarisha ushirikiano na Ankara, akisema mpango wa EU wa ununuzi wa pamoja wa vifaa vya ulinzi wenye thamani ya bilioni $173…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO - 28 NOVEMBA 2025- WENYEVITI WATAKIWA KUPISHA UCHUNGUZI
Rais wa Urusi, Vladmir Putin, sasa anasema atasitisha vita ya Ukraine ikiwa utawala wa Kiev utawaondoa wanajeshi wake toka kwenye miji yote inayodaiwa na Moscow, akionya kuwa tofauti na hapo…
Wakati Serikali ikianza vikao na wadau vya kurejesha huduma za mabasi yaendayo haraka katika...
#HABARI: Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha…
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura amesema kuanzishwa kwa Chama cha Kuweka na...
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has inaugurated its Board of Directors in a move aimed to fast-tracking the improvement of the country’s business…
Zuma-Sambudla hajatoa ufafanuzi wowote hadharani kuhusu madai ya kuwarubuni watu kuenda kupigana nje ya nchi.
Wanasiasa karibu 40 wa upinzani nchini Tunisia wamehukumiwa kifungo cha miaka hadi 45 jela kwa kosa la kuhujumu usalama wa nchi. Imechapishwa: 28/11/2025 – 15:24Imehaririwa: 28/11/2025 – 15:33 Dakika 1…
Tume ya Utumishi wa Umma imepanga kufanya mkutano wa pili katika mwaka wa fedha 2025/26 kwa...
Serikali imewataka wahitimu wa vyuo vikuu kuonyesha mfano wa moyo wa uzalendo katika nchi yao...
DAR ES SALAAM: WAKALA wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam (DART) imerejesha huduma za usafiri wa umma katika awamu ya kwanza, kuanzia Ubungo Terminal kuelekea Gerezani, Kivukoni na Muhimbili.…
MWANZA: WAHITIMU wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Mwanza wametakiwa kuchangamkia na kutumia fursa zilizopo katika Mkoa wa Mwanza ili kujiletea maendeleo na kuchangia katika ustawi wa Taifa.…
DAR ES SALAAM: Watumishi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), wamepongezwa kwa kuendesha Baraza la Wafanyakazi lenye tija ambalo ni kichocheo muhimu cha maamuzi makubwa ya kuboresha huduma…
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya GSM Group imeingia hatua mpya ya kihistoria baada ya kupokea magari 100 ya kusafirishia mafuta kutoka kampuni ya malori Sino truck Tanzania hatua inayotajwa kuongeza…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma imeendelea na juhudi za kuboresha huduma na kuongeza uwazi katika masuala ya mapato, ambapo kupitia mkutano maalum uliowakutanisha viongozi wa wafanyabiashara, wawakilishi…
Rais wa Donald Trump amesema anapanga kuzuia raia kutoka nchi zinazoendelea kuingia nchini Marekani, siku moja baada ya raia wa Afghanistan kudaiwa kuwapiga risasi wanajeshi wawili jijini Washington. Imechapishwa: 28/11/2025…
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim yupo tayari kuruhusu wachezaji watatu kuondoka dirisha lijalo la usajili la Januari.
Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC imeahirisha kikao cha marais kilichopangwa kufanyika mwezi huu hadi Januari mwakani. Imechapishwa: 28/11/2025 – 14:39 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
LICHA ya kuonyesha nia ya kuendelea kusalia Barcelona na kusaini mkataba wa kudumu, ripoti zinadai Paris Saint-Germain imeingia kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili mshambuliaji Marcus Rashford dirisha lijalo, jambo ambalo linaweza…
Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maswali mengi yameibuliwa kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya bajeti iliyotolewa katika mfuko wa serikali ili kugharamia operesheni kadhaa za kijeshi tangu kuzuka kwa waasi…
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government continues to push for clean energy with the target to ensure 80 percent of its citizens use it by 2034. The Deputy Minister in…
Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 59 anasema yeye ni tofauti kabisa na dikteta huyo wa Ujerumani, na anapenda atambuliwe kwa jina lake la asili
NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Festo Dugange, amefanya ziara yake ya kwanza katika Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na…
MBIVU na mbichi ya safu mpya ya uongozi ya Bodi ya Ligi (TPLB) itajulikana kesho Jumamosi, Novemba 29, wakati Mkutano Mkuu wa 12 wa Baraza Kuu la bodi hiyo utakapofanyika…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Disemba 12, 2025 kutoa hukumu katika kesi ya kutishia...