Sudan: Mauaji ya kikatili, ubakaji, mateso… Jinamizi la El-Fasher lasimuliwa na mashahidi
Katika ripoti iliyochapishwa mnamo Novemba 25, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limechapisha ushuhuda takriban thelathini kutoka kwa wakazi wa jiji la El-Fasher la Sudan ambao walifanikiwa kutoroka.…