EU inazingatia kuwapa mafunzo polisi wa Palestina
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wiki ijayo watajadili pendekezo la Umoja huo kuongoza kutoa mafunzo kwa maafisa wa polisi 3,000 wa Palestina kwa lengo la baadaye…
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wiki ijayo watajadili pendekezo la Umoja huo kuongoza kutoa mafunzo kwa maafisa wa polisi 3,000 wa Palestina kwa lengo la baadaye…
Pakistan imetangaza leo kukamatwa kwa wanamgambo wanne kwa madai ya kuhusika katika shambulio baya la kujitoa mhanga kufa nje ya mahakama ya wilaya katika mji mkuu Islamabad.
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema leo kuwa Umoja huo utaendelea kufanya kazi kujilinda dhidi ya vitisho mseto.
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has said that the 2025 General Election has brought major changes, with an increased number of women winning constituency seats as well as a rise…
#KIPIMAJOTO: “MAMBO GANI YA KIPAUMBELE YAZINGATIWE KUPONYA TAIFA NA MAKOVU YA UCHAGUZI MKUU 2025 ?”
BODI ya Azam Football Club imemtangaza rasmi Octavi Anoro (42), raia wa Hispania, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo, kwa mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2027.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA.... 14 NOVEMBA, 2025
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has said that her government is committed to reducing the cost of construction materials to enable Tanzanian citizens to afford decent and safe housing. Speaking…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced that within just 12 days since the beginning of the second term of the Sixth-Phase Government, 7,000 new teaching posts and 5,000 health…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuundwa kwa Tume Maalum ya Uchunguzi yenye jukumu la kuchunguza na kusimamia mchakato wa kuponya mpasuko wa kisiasa uliotokana na maandamano ya uchaguzi.
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14 amefungua rasmi Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Kwanza. The post Rais Samia afungua…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ingawa dhamira yake ya maridhiano wakati wa muhula wake wa...
"Nimeshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia zikiendelea na taratibu za kulipa deni la matibabu kwa njia zinazolinda utu…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has said that as Tanzania follows democratic principles, it is important for citizens to agree on how to govern their own country democratically in a…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaongeza bajeti na uwezo wa Wakala ya Barabara za Mijini (TARURA) kuboresha Barabara za ndani na vijijini ili kuhakikisha barabara za vijijini zinapitika mwaka…
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita imepanga kuanzisha Wizara ya Vijana itakayoshughulikia kwa ukaribu mambo yote yanayowahusu vijana…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuanzisha wizara kamili itakayoshughulikia masuala ya vijana, pamoja na kuwa na washauri wa Rais watakaomshauri kuhusu mambo ya vijana, ikiwemo changamoto zao. #AzamTVUpdates…
Kabla ya kuteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu Msaidizi, Rashid Seif alikuwa sehemu ya benchi la ufundi...
"Katika safari yetu ya kuendesha Tanzania Kidemokrasia tuko tayari kujifunza na kujirekebisha, hivyo basi niombe makundi yote ya Watanzania hasa vyama vya Siasa, tukae pamoja, tuzungumze, tuangalie tumekosea wapi turekebishe..."-Rais…
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya awamu ya sita imejipanga kabisa kutatua changamoto za ukosefu wa ajira kwa vijana kupitia uundaji…
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, has stated that the government is ready to learn and make improvements in its journey to strengthen the…
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya sita imepanga kuanzisha wizara ya vijana itakayoshughulikia kwa ukaribu mambo yote yanayowahusu vijana…
KESI iliyokuwa ikiendelea kati ya Yanga na kiungo wa klabu hiyo, Aziz Andabwile imemalizika baada ya pande zote kufikia makubaliano na sasa kila kitu kipo freshi.
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has issued a pardon to all youth who were charged of treason in the country by following the crowd and protesting during the general election…
Mshambuliaji wa zamani wa Man United, Eric Cantona amemponda mmiliki mwenza wa klabu hiyo ya...
#HABARI: "Moja ya hatua itakayotufikisha katika maelewano ni marekebisho ya Katiba, Serikali imeahidi kulifanyia kazi suala la mabadiliko ya Katiba ndani ya siku 100 za muhula wa pili wa Serikali…
“Serikali imeahidi kuanza kulifanyia kazi suala la mabadiliko ya katiba ndani ya siku 100 za muhula wa pili wa awamu ya sita, kwa kuanza na tume ya usuluhishi na maelewano,”…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced a new plan to empower young people as she inaugurated the 13th Parliament in Dodoma today, November 14, 2025. The President revealed that…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana nchini kuacha tabia ya kufuata mkumbo, akisema kitendo hicho kimewaingiza baadhi yao katika matukio ya uvunjifu wa…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwafutia makosa vijana wote walioingia mtaani kuandamana kupinga zoezi la uchaguzi, ghasia ambazo zilisababisha vifo vya raia.
DODOMA: RAIS Samia ameviomba vyama vya siasa nchini kukaa pamoja na kuona wapi wamekosea ili kurekebisha kwa lengo la kuendeleza taifa lenye amani. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akitoa…
Rais Samia Suluhu amewatangazia hali ya hatari watumishi na watendaji wa Serikali...
“…Ninatambua vijana wengi waliokamatwa na kustakiwa kwa makosa ya uhaini hawakujua wanachofanya. Nikiwa mama na mlezi wa Taifa hili, ninavielekeza vyombo vya sheria, hasa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, kuangalia…
DODOMA: RAIS, Dk 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amesema Serikali imeunda tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 wakati wa Uchaguzi Mkuu, ili kujua kiini cha tatizo hilo, akieleza kuwa taarifa…
Takribani washiriki 1,200 kutoka nchi zaidi ya 40 wanatarajia kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa...
“Ninatoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao… Serikali imechukua hatua ya kuunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili tujue kiini cha tatizo… taarifa hiyo itatuongoza kuelekea kwenye maelewano na amani.”…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza viongozi serikali kwa ngazi zote nchini kuanzia mawaziri hadi maafisa tarafa kuwa karibu na wananchi ili waweze kufahamu changamoto zao na kuwajibika kwao. Ametoa agizo…
#HABARI: "Serikali imechukua hatua ya kuunda Tume ya kuchunguza yaliyotokea ili tujue kiini cha tatizo, taarifa hiyo itatuongoza kujielekeza kwenye mazungumzo ya kuleta maelewano na amani." amesema Rais Dkt. Samia…
DODOMA: THE Tanzanian government has formed a special commission to investigate the violence that occurred during the General Elections held on October 29, 2025, to identify the root cause of…
Wakati msimu wa nne wa Mbio ya Rombo Marathon ukitarajiwa kushirikisha wakimbiaji 2500, tofauti...
Mashirika manne ya kutetea haki za binadamu Tanzania, yamefungua kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki dhidi ya mwanasheria mkuu wa serikali ya Tanzania. Ikipinga sheria ya mawasiliano ya kielektroniki na…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameiagiza ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) kuchuja makosa ya vijana waliojihusisha na vurugu wakati wa…
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka, kuwafutia makosa vijana wote...
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeagiza ujumbe wa uchunguzi mnamo Novemba 14, 2025, ili kuwabaini wale wote waliohusika na madai ya ukiukaji wa sheria za kimataifa…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Jahmhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesimamisha hotuba yake kwa dakika kadhaa kuwaombea waliofariki kwenye vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba…
Rais Samia Suluhu amesema Serikali yake itaunda tume maalumu ya kuchunguza vurugu zilizotokea...