Mashariki mwa DRC: Kiongozi wa zamani wa waasi Roger Lumbala aanza mgomo wa kula Paris
Kiongozi wa zamani wa waasi nchini DRC, Roger Lumbala, ambaye kesi yake imengia siku ya tatu leo Ijumaa, ametangaza kwamba ameanza mgomo wa kula. Akishtakiwa kwa kushiriki katika uhalifu dhidi…