#HABARI: Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), limesema katika kuendelea kuboresha shughuli za uchimbaji na kuongeza thamani na ubora wa makaa yake ya mawe yanayochimbwa katika Mgodi wa Kiwira Kabulo, uliopo Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, kwa kushirikiana na wabia imeleta mtambo wa kisasa wa umeme (Intelligent dry sorting machine) na wa maji ( water washing plant) wenye jumla ya thamani ya zaidi ya bilioni kumi utakaotenganisha makaa yenye ubora na uchafu ili kuendana na ushindani wa soko la Kitaifa na Kimataifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania