Changamoto ya usafiri kuelekea mikoani kunapokaribia sikukuu za mwisho wa mwaka imekuwa ni tatizo la muda mrefu, licha ya mamlaka husika kuweka nguvu katika kushughulikia.
Tuandikie maoni yako, nini kifanyike kwa wasafiri, wamiliki wa vyombo vya usafiri na mamlaka husika kuhakikisha changamoto hii inapunguzwa au kumalizwa kabisa.
Maoni yako yatasomwa kwenye taarifa ya habari ya #AdhuhuriLive kuanzia saa 7.00 mchana.
TAFADHALI TOA MAONI KISTAARABU.