#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Bi. Hawa Mwaifunga, amekagua maendeleo ya Vituo vya Afya vya kata tatu za Manispaa ya Tabora, ambapo katika kituo kipya cha Kata ya Misha, amebaini madudu makubwa ya mrundikano wa dawa zilizokwisha muda wake kinyume na utaratibu, hali chafu ya mazingira pamoja na mpangilio mbovu wa vitu ikiwemo shuka za wagonjwa zikikutwa zikitumika kama pazia za dirishani, hali inayohatarisha utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania