Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso(CCM) amesema atashirikiana wabunge wanawake wa mkoa huo ili kufanya kazi ya kuwaletea maendeleo wananchi.

Ameyasema hayo leo Disemba 6, 2025 akizungumza na wajumbe wa Baraza la UWT mkoa wa Arusha akieleza kuwa kufanya kazi kwa bidii ni kumsaidia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kufikia azma yake ya kuwaletea wananchi maendeleo akisimamia misingi ya kazi na utu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *