“Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka Desemba 9, aidha Serikali inawashauri wananchi ambao Desemba 9, 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko,”-Dkt. Mwigulu Nchemba – Waziri Mkuu wa Tanzania.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *