“…wale wote ambao ambao wanashabikia wale wote ambao wanaona wameichoka amani, wale wote ambao wanaona hata mateso tuliyopata katika kipindi hiki wanaona hayatutoshi wanataka kutuongeza tena mengine tuwaombe sana kwamba maandamano kwa kuwa hayana kibali, hayapo kwa mujibu wa sheria, hayakubaliki na ni kinyume cha sheria,”- Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh.Gerge Simbachawene.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.