#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amefanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo ya masoko na huduma zingine muhimu katika manispaa ya Songea ambapo amewahakikishia wananchi wa mkoa huo hali ya usalama zaidi na kuwataka kuendelea kudumisha amani na utulivu wa nchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania