#HABARI: Kutokana na kukosekana kwa maji safi na salama baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach Africana wameendelea kutafuta maji ili maisha yaendelee kama kawaida bila kujali vikwazo wanavyovipata huku maji ya chumvi dumu likifika shilingi 1,000 hadi 1,500 na wakati huo boza moja kwenye magari ni shilingi 50,000.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *