#MICHEZO: @ahmedally_ meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba amezungumza na @hoseamchopa kuwa Simba inafanya haraka iwezekanavyo wakati wachezaji wanarudi kwenye timu Desemba 28, 2025 wapokelewe na Kocha Mkuu mpya.

Katika maelezo yake hajaweka wazi kama viongozi wataamua Kocha Mkuu abakie Selemain Matola au huyo Kocha Mkuu atakuwa mpya katika timu hiyo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *