Mkoa wa Lindi umetangaza mpango wa kuongeza wigo wa biashara ya kilimo kwa kujumuisha uzalishaji wa mazao ya chakula, mbogamboga na matunda ili kuwawezesha wa wananchi wa mkoa huo kuwa na nguvu ya kiuchumi kupitia sekta ya kilimo.
Omary Mikoma ameandaa taarifa ifuatayo kuhusu mpango huo.
Mhariri @moseskwindi