Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 you amehani msiba wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, Itega jijini Dodoma.
Mhagama amewahi kushika nyadhifa mbalimbali akiwamo Waziri wa Afya katika Serikali iliyopita. Hata hivyo Mhagama hakuteuliwa tena katika Baraza jipya la mawaziri liloteuliwa hivi karibuni.
#StarTvUpdate