#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amesema mkoa wake umeguswa na msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri mstaafu wa Afya, Jenista Mhagama na wamempoteza kiongozi mchapakazi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu msiba wa Jenista Mhagama aliyefariki Dunia Desemba 11, mwaka huu Brigedia Jenerali Ahmed amesema mwili wa marehemu utapokelewa Songea, Desemba 14, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *