#HABARI: Vyombo vya Usalama Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, vimemkamata na kumshikilia Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Conlite, kwa tuhuma za kutelekeza miradi ya ujenzi wa barabara nne na makalavati wilayani humo, ikiwemo barabara ya Kigwa – Itunda Ukulu, licha ya kupokea fedha za miradi hiyo, huku wakandarasi wengine waliokimbia miradi yao wakipewa siku mbili kutoa ufafanuzi na kutakiwa kurudi kazini kabla hatua ngumu za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *