MABADILIKO YA RATIBA ZA MARUDIO AZAM TWO

Msimamizi Msaidizi wa #AzamTWO, @mrisho.senga_ ameelezea mabadiliko ya ratiba za marudio kwenye chaneli namba 102 AzamTWO, ambapo kwa sasa filamu ya Jumamosi usiku itakuwa ikirudiwa Jumanne na Alhamisi saa 5 asubuhi. Filamu ya Jumapili sasa itakuwa ikirudiwa Jumatano na Ijumaa saa 5 asubuhi.

Tamthilia ya saa 2 usiku, marudio yake yatakuwa saa 11:00 jioni huku marudio ya tamthilia zilizopita yenyewe yatakuwa saa 12:00 jioni kutoka saa 7:00 mchana ili kupisha muda wa marudio ya filamu ambazo zilikuwa hazirudiwi hapo awali.

#AzamTVBurudaniKwaWote

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *