Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imeanza rasmi zoezi la uhamishaji wa makaburi kutoka eneo la Kishenge lililotumika kwa ajili ya maziko kuelekea eneo la Buhembe, lengo likiwa ni kuandaa eneo hilo kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kitegauchumi kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama ‘machinga’.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm