Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amewaomba wakazi wa mkoa huo kujitokeza katika mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama utakapowasili mkoani humo baada ya taratibu za kumuaga Dodoma kukamilika.

Abbas ametoa wito huo leo alipokuwa akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wakazi wa mkoa huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *