Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha Ukanda wa Gaza yamewaweka hatarini zaidi ya wakazi 800,000 ambao hivi sasa wanakumbwa na dhoruba kali kutokana na kuanza kwa msimu wa baridi kali.
Hali hiyo imeshuhudiwa ikiwa ni miezi miwili imepita tangu kupitishwa kwa usitishwaji mapigano uliosimamiwa na Marekani Oktoba mwaka huu, wakati wakazi wa Gaza wakiwa bado katika hali duni.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi