Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama limefikishwa nyumbani kwake Itega kwa ajili ya maandalizi ya ibada ya kuuaga mwili itakayofanyika kesho katika kanisa Catholic lililopo kata ya Kiwanja cha Ndege Mkoani Dodoma.
#Cloudsdigitalupdates