Mkoani Mtwara, katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, tumekutana na Mohamed Abdallah Chinung’a ambaye licha ya kuwa na umri wa miaka 98 bado anachapa kazi za kumuingizia kipato, akiwa na imani ya kutokuwa tegemezi kwenye jamii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *