Watu watatu wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na kanisa walimokuwa wamejikinga na mvua iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha leo mchana, wilayani Bariadi mkoani Simiyu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *