Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya usafiri wa sekta ya bahari pamoja na rasilimali zinazopatikana baharini, ikiwemo kuandaa sera ya usafiri wa majini ili kuchangia ipasavyo katika uchumi wa nchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *