#HABARI: Mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kijitonyama Dr. Eliona Kimaro, amewasihi Watanzania kukemea na kukataa roho za machafuko, akirejea matukio ya Oktoba 29 na kuwataka waumini kulaani na kutokubali tukio la namna hiyo lisijirudie tena, huku akisisitiza umuhimu wa amani katika Taifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.