#HABARI: Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Taifa limepoteza kiongozi muhimu aliyekuwa imara, katika kutetea maslahi ya nchi, mwenye hekima, nidhamu na moyo wa kujali Taifa.

Rais Samia amesema Jenista Mhagama alikuwa kiongozi asiye na mzaha katika kazi, lakini mwenye uchangamfu na tabasamu la kudumu, aliyewaheshimu viongozi wake, chama chake na wananchi aliowahudumia.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *