Kila mwaka, inapofika Desemba, Mkoa wa Kagera hushuhudia ongezeko la wageni wa asili wanaorejea nyumbani kutoka sehemu mbalimbali nje ya mkoa huo. Lengo ni kuimarisha mahusiano ya kifamilia na kijamii pamoja na kuchangia maendeleo ya kiuchumi ya mkoa huo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi