Vijana wa kikundi cha Fikra Pevu, wanaoishi mtaa wa Migongo mkoani Mtwara wameanza kunufaika kiuchumi kupitia shughuli za kuchakata plastiki chakavu na kuziuza. Mpango huu umewasaidia kukabiliana na changamoto ya ajira huku pia ukichangia kuongeza usafi wa mazingira katika maeneo yao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi