#HABARI: “Lakini wale walioshindikana kabisa mtanipa na mimi huwaga sio muumini wa watu ambao hawataki kufanya kazi, ukiuliza mtu yeyote upande wangu mbaya huwaga ni huo na napendaga kuutekeleza kwa haraka sana, kwahiyo wale watoboa mitumbwi tuwape muda kwanza wajibadilishe, tuwape miezi mitatu.” – Moses Mabamba

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na mameneja wa Mikoa katika kikao kilichofanyika Makao Makuu ya Wakala huo mjini Dodoma.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *