Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar (ZDCEA) imetaifisha nyumba nne zenye thamani ya zaidi ya millioni 169 zinazodaiwa kumilikiwa na Mohamed Omar Ali anayetuhumiwa kufanya biashara ya dawa za kulevya.

Kamishna mkuu wa mamlaka hiyo, Kanali Burhan Zuber Nassor amesema hatua hiyo inalenga kudhoofisha mtandao wa watuhumiwa hao.

#AzamTVUpdates #HabariWikiendi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *