#MICHEZO: Mwanachama Mwandamizi wa Simba SC Seif Mapilau amesema anaunga mkono azimio la dua ya wanachama ili kusafisha watu wasiowatakia mema timu yao.
Akizungumza na @hoseamchopa amewageukia vikali viongozi kwa kutaka mabadiliko ya haraka kutokana na Simba kukosa makali kwa sasa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania