Tuambie huwa unasafisha vipi meno yako? Tazama namna Daktari wa Kinywa na Meno, Cosmas Anthony akionesha jinsi ya kusafisha meno (kupiga mswaki) itakayokuacha na kinywa safi kisichotoa harufu muda wote.

Usikose kutazama Medi Counter kila Jumatatu saa 3:30 usiku kupitia #UTV

Imeandaliwa na Dafrosa Prosper
Mhariri @abuuyusuftz

#medicounter #utv108 #afya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *