#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbunge wa Simanjiro, James Ole Milya, amewata viongozi na Watendaji wa Serikali wanaotoka kwenye jamii hiyo, wawasaidie wananchi kuondoa changamoo zinazowakabili badala ya kuendekeza tamaa kuwa fanya wafugaji kama sehemu ya kitega uchumi.
Mhe Ole Milya amesema hayo kwenye Kijiji cha Olpoponyi, wilayani Kiteto alipohudhuria maziko ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi serikali ya Awamu ya nne Marehemu Benedict Ole Nangoro.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania