#HABARI: Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 15, 2025 anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika kikao cha ndani kinachofanyika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA), jijini Tanga.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania