Hofu imetanda kwa baadhi ya wakulima nchini kufuatia uhaba wa mvua katika maeneo mbalimbali hali inayotishia kustawi kwa mazao huku wataamu wa kilimo wakiwashauri wakulima hao kubadilisha mbinu za kilimo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *