#MICHEZO: Mchezaji wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matteo ambaye alikuwepo katika Kongamano la FIFA Doha Qatar alionekana kuvutiwa zaidi na uwasilishaji wa vipengele muhimu kwa mabadiliko thabiti ya klabu ya Yanga.
Rais wa Yanga Eng Hersi Said aliwasilisha mada hiyo akiitumia klabu yake ya Yanga ilikotoka ikiwa dhaifu katika uchumi, mashabiki wachache uwanjani, ushindani mdogo katika mashindano ya Kimataifa ngazi ya Klabu. Klabu ya Yanga ikiweza kunufaika na mashabiki na wanachama na kuvutia wawekezaji wengi zaidi.
Lakin haya yote yamebadilika mfano kipindi hiki na mabadiliko haya yalimvutia Roberto Di Mateo na kutamani kujua mengi zaidi kwa kuuliza swali kuhusu hatua hizi za Yanga.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania