Serikali imetangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na uhaba wa maji katika baadhi ya mikoa na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kusimamia ratiba ya ugawaji wa maji kama walivyoipanga ili kuondoa malalamiko, huku juhudi zikiendelea za kutafuta mwarobaini wa tatizo la uhaba wa maji mkoani Dar es Salaam.
Mbali na juhudi hizo serikali imeonesha nia ya kuishirikisha sekta binafsi katika kutatua changamoto hiyo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi