#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma, uongo na ubinafsi unaoenezwa kupitia mitandao ya kijamii.

Ametoa rai hiyo leo, wakati wa Ibada ya Krismasi iliyosaliwa katika Kanisa la Parokia ya Pwaga, wilayani Mpwapwa, mkoani Dodoma huku Paroko wa Parokia hiyo, Padri Daniel Kijaji akimuombea hekima na busara katika jukumu alilokabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan la kuiongoza wizara hiyo ambapo pia alimshukuru kwa kuchangia kiasi cha Shilingi Milioni Kumi kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *