#HABARI: Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza Stesheni ya Soga, japo taarifa haijafafanuliwa ni hitilafu gani, abiria wameshuka nje ya treni huku wengi wao wakitafuta chai bila ya mafanikio kwani chai ya ndani ya treni ilikuwa imeisha.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *