Waziri Mkuu: Kilichotokea sio uzembe
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema kuwa upungufu wa maji uliotokea nchini haujasababishwa...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema kuwa upungufu wa maji uliotokea nchini haujasababishwa...
Mapigano yameibuka kati ya waandamanaji kutoka madhehebu ya wachache ya Waalawi na wanaopinga maandamano hayo na kusababisha vifo vya karibu watu wanne na wengine kadhaa kujeruhiwa.
China imezindua luteka ya kijeshi karibu na kisiwa cha Taiwan, ikitumia silaha nzito za moto. Beijing imesema hayo ni mazoezi ya kijeshi yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala chenyewe.
DAR ES SALAAM: THE Chief Executive Officer of the Dar es Salaam Water Supply and Sanitation Authority (DAWASA), Mkama Bwire, has called for the speedy completion of the Kidunda Dam…
Admin nimelia jamani mnisamehe ila niko upande wa... au basi 🥹
Timu tatu tayari zimejikatia tiketi katika hatua ya 16 bora baada ya kushinda mechi zao mbili za mwanzo.
Serikali imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa bwawa la maji la Mwambazi mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa lengo la kukabiliana na uhaba wa maji unaowakabili wakazi wa mji huo ambao…
Watoa huduma za afya mkoani Mtwara wametakiwa kujipanga ili kuboresha utoaji wa huduma katika vituo vyao na kuwa vivutio kwa wagonjwa, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa fedha kutoka Mfuko wa…
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imetoa notisi ya siku 21 kwa waombaji wa viwanja katika maeneo ya Mtumba na Kikombo waliochelewa kukamilisha mchakato wa malipo ndani ya muda uliopangwa, ikiwataka…
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, amefanya ukaguzi wa uzalishaji na usambazaji wa maji katika eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani. Ukaguzi huu ni sehemu ya jitihada…
NMB MAPINDUZI CUP 2026: Jumatano hii, AzamFC watacheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya NMB Mapinduzi Cup kwa kukipiga na Singida BS. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 2:15 usiku,…
Takriban watu 4 wamepoteza maisha jana Jumapili baada ya kuzuka makabaliano wakati wa maandamano yaliofanywa na jamii ya walio wachache nchini Syria ya Waalawi.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, imewaachia huru raia wawili wa Kenya, Titus Mutisya na Benard...
Vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine vinaendelea kuathiri moja kwa moja nchi za Afrika, hususan katika upatikanaji wa bidhaa muhimu kama ngano na mafuta. Mchambuzi wa siasa Abdulaziz Jaad,…
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imevunja ukimya wake kuhusu hali ya mvutano unaoendelea nchini Somalia na Somaliland, na kuthibitisha uungaji mkono wake kwa Somalia.
Jeshi la Iran limeonya kwamba, hatua yoyote ya uadui kutoka kwa maadui itakabiliwa na jibu kali, huku likisisitiza juu ya utayarifu wake wa kulilinda na kulihami taifa.
Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiingilii masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Mamia ya wanachi wa Somalia jana Jumapili walifanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hyo, Mogadishu kupinga na kulaani uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kuitambua kana nchi huru…
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefunga kampeni zake za uchaguzi mdogo katika Jimbo la Fuoni kwa...
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Tabora zimeleta adha kwa wananchi wa kata ya mapambano na kijiji cha masagala vilivyopo manispaa ya Tabora baada ya bwawa la Italia…
DAR ES SALAAM: The Acting Director General of the Tanzania Meteorological Authority (TMA), Dr Ladislaus Chang’a, has said that weather forecasts issued by the authority have an accuracy rate of…
MWEKEZAJI maarufu wa Marekani, Robert Kiyosaki, amesisitiza wito wake wa kuwekeza katika madini ya thamani na fedha za kidijitali akidai kuwa dola ya Marekani ipo hatarini kupoteza nguvu. Kiyosaki amesema…
Katika mji wa Tunduma, mkoani Songwe, zaidi ya vijana 600 kutoka kabila la Wasafwa, lenye asili yake mkoani Mbeya, wamefanya matembezi ya kitamaduni na kufunga kwa muda barabara ya mjini…
LINDI: LINDI region has been hailed for effective monitoring of road safety campaigns during the ongoing festive season. The Tanzanian Head of the Road Safety Education Desk, Senior Superintendent of…
Cameroon na mabingwa watetezi Côte d’Ivoire usiku wa kuamkia leo walitoshana nguvu kwa sare ya...
China inafanya mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ikiiga kukamatwa na kuzingirwa kwa maeneo muhimu ya kisiwa hicho, kama onyo dhidi ya "vikosi vya Taiwan." Jeshi la ardhini, jeshi la wanamaji,…
KAGERA: Umoja wa wanachama wa mtandaoni wanaoishi ndani na nje ya Mkoa wa Kagera, unaofahamika kama Friends of Kagera, umeamua kuanza safari mpya ya kugusa maisha ya wahitaji na makundi…
#HABARI: Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limefanikiwa kuteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa hekta 2.5 katika eneo la Mnyika, Kijiji cha Chonwe, Wilaya ya Kipolisi ya Ruhembe, Kilosa.…
Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania (TMA) imeonya kuwa mvua kubwa zitanyesha katika mikoa ya 20 ya nchini humo.
Mechi za mwisho hatua ya makundi AFCON zinaanza kuunguruma leo kwa michezo ya Kundi A na B. Misri wameshafuzu hatua ya 16 bora baada ya kushinda mechi mbili za kwanza,…
Mwaka 2008 Azam FC ilipanda daraja kushiriki ligi kuu msimu wa 2008/09.
#HABARI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amefanya ziara ya kikazi katika eneo la Iyovi, wilayani Kilosa, kukagua hali ya usalama baada ya kifusi cha matope kuporomoka…
ARUMERU: IN efforts to address the impacts of climate change, including droughts and floods, the National Irrigation Commission (NIRC) has continued to provide training to farmers on the management and…
WAKATI Watanzania wakiendelea kuungana na watu wengine duniani kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka, maandalizi ya wanafunzi kurejea shuleni nayo yamepamba moto. The post Msipandishe bei vifaa vya shule first…
Safari ya kulisaka taji la Mapinduzi 2026 ilianza jana Jumapili, Desemba 28, 2025 kwa kupigwa...
Takriban watu 13 wamefariki na karibu 100 wamejeruhiwa baada ya treni kuacha njia katika eneo la kusini-magharibi mwa Mexico la Oaxaca, limesema jeshi la wanamaji la Mexico. Treni hiyo, iliyokuwa…
Botswana, Guinea ya Ikweta na Gabon zimeondolewa kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya kushindwa kupata pointi hata moja katika hatua ya makundi. Botswana, ambayo imemaliza ikiwa…
Abdel Fattah al-Burhan alisema kwamba wale ambao waliitaka serikali kusalimu amri wanapaswa badala yake kuwashauri wapiganaji wa wanamgambo kujisalimisha.
🔴MASHINDANO YA AFCON 2025:
DIWANI wa Viti Maalumu Tarafa ya Suye mkoani Arusha, Michelle Mrema amewataka wanawake nchini kuendelea kuwa walezi wa amani, uvumilivu na mshikamano, akisisitiza kuwa misingi hiyo ni muhimu katika kuwalea…
DAR ES SALAAM: Riyard Mahrez ni kama amegoma kuzeeka hivi, katika maisha ya soka nadra sana ingawa inatokea kumkuta mchezaji wa miaka 34 akiwa bado anakiwasha. Mpaka sasa AFCON 2025,…
MOROCCO: TANZANIA remain optimistic about reaching the Africa Cup of Nations knockout stage after a 1-1 draw with Uganda on Saturday left Group C open ahead of the final round…
MEXICO: At least 13 people died and almost 100 were injured after a train derailed in Mexico’s south-eastern Oaxaca region, the Mexican navy said. The train, which was travelling between…
ZANZIBAR: MAPINDUZI Cup has been rebranded as the NMB Mapinduzi Cup after NMB Bank signed a five-year title sponsorship deal, a move officials say will strengthen football development in the…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi amesema kuna ulazima wa kulindwa umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala ya Yemen, huku kukiwa na ongezeko la mvutano…
MAKUNDI ya watalii kutoka barani Ulaya na Asia yakitumia ndege binafsi yameendelea kumiminika katika msimu huu wa chini wa utalii kwenda kuangalia vivutio vya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya…
MOROCCO: MOZAMBIQUE staged a thrilling 3-2 victory over Gabon in a pulsating Group F encounter at the Africa Cup of Nations, keeping their hopes alive in what was an open,…
RABAT: TANZANIA is taking advantage of the Africa Cup of Nations (AFCON) 2025 finals to study ways to promote its tourism sector and attract investment, ahead of its joint hosting…
DAR ES SALAAM: Strong export performance played a decisive role in narrowing the current account deficit in the year ending October, signalling a marked improvement in the country’s external balance…