Mechi za mwisho hatua ya makundi AFCON zinaanza kuunguruma leo kwa michezo ya Kundi A na B.

Misri wameshafuzu hatua ya 16 bora baada ya kushinda mechi mbili za kwanza, wanacheza na Angola wenye alama moja.

Zimbabwe akiwa na alama moja kukipiga na South Africa mwenye alama tatu

Je, ni timu gani kuungana na Egypt kwenda hatua ya 16 bora kutoka Kundi B.

Zambia akiwa na alama mbili kukipiga na wenyeji Morocco wenye alama nne.

Comoro akiwa na alama moja kucheza na Mali wenye alama mbili.

Je, ni timu gani kutinga hatua ya 16 bora kutoka Kundi A?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#AFCON2025 #azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *