Mabula ataja sababu ya kutoanza vizuri Azerbaijan
KIUNGO wa Shamakhi FC, Alphonce Mabula ameeleza sababu za timu hiyo kutoanza vizuri katika Ligi Kuu Azerbaijan msimu huu, akitaja ugumu wa ligi hiyo na ushindani uliopandishwa na timu zinazoshiriki…
KIUNGO wa Shamakhi FC, Alphonce Mabula ameeleza sababu za timu hiyo kutoanza vizuri katika Ligi Kuu Azerbaijan msimu huu, akitaja ugumu wa ligi hiyo na ushindani uliopandishwa na timu zinazoshiriki…
BEKI raia wa Tanzania, Jackson Kasanzu anayekipiga Tormenta FC ya Marekani baada ya kuitwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kitakachowania Fainali ya Mataifa…
Marekani yatia saini mkataba wa dola milioni 228 na Rwanda kwa ajili ya afya katika mfumo mpya wa "Afya Duniani." Marekani pia imetia saini mkataba kama huo na Kenya.
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umetangaza kuwa timu zake katika kambi ya Al-Afad, mashariki mwa mji wa Al-Dabba kaskazini mwa Sudan, zimesajili visa 19 vya ubakaji wa wanawake waliofurushwa kutoka…
#HABARI: Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), limesema katika kuendelea kuboresha shughuli za uchimbaji na kuongeza thamani na ubora wa makaa yake ya mawe yanayochimbwa katika Mgodi wa Kiwira Kabulo,…
Kundi la wanajeshi wa Benin leo Jumapili limetangaza kupitia kituo cha utangazaji cha serikali kwamba limefanya mapinduzi na kumuengua madrakani Rais Patrice Talon, na kumteua Luteni Kanali Pascal Tigri kuongoza…
Wanajeshi nchini Benin siku ya Jumapili walitangaza kuwa wamemuondoa madarakani Rais Patrice Talon, ingawa wasaidizi wake walisema yuko salama na jeshi lilikuwa likipata udhibiti tena.
#HABARI: Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, Bw. Frank Sichalwe, ametoa wito kwa madiwani walioapishwa kutambua kwamba nafasi waliyopewa ni dhamana kutoka kwa wananchi, hivyo wanapaswa kuwatumikia kwa…
Mechi mbili za Ligi Kuu Tanzania Bara zinachezwa leo katika viwanja na miji tofauti lakini...
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amepuuzilia mbali madai ya kukaririwa kuhusu visiwa vitatu vya Iran katika taarifa ya mwisho ya…
Ilibaki kidgo tu, ZELIHA aachwe na ndugu zake baada ya fikra za usiku mzito akishuhudia miili ya wazazi wake chini 🥹😭 Usikose 6 OF US leo saa 2:00 Usiku #AzamTWO
Jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wamefanikiwa kuwakamata watu 116 kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano ya Disemba tisa. Akizungumza na waandishi wa…
🔴TAMASHA LA MICHEZO:............... DESEMBA 07, 2025
Tom Barrack Mjumbe Maalumu wa Marekani nchini Syria amesema kuwa Washington ilijaribu mara mbili kupindua serikali ya Iran lakini iliambulia patupu.
Urusi imepongeza mkakati mpya wa usalama wa kitaifa wa Marekani na kuutaja kuwa hatua chanya kwa mahusiano baina ya nchi hiyo mbili.
Rais Patrice Talon hajulikani aliko.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anatarajiwa kukutana leo na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem katika ziara yake ya kwanza Israel tangu aingie madarakani mwezi Mei mwaka huu.
Mwamini kazileta habari bado za moto kabisa 🙌😅
Shambulizi la droni la hivi karibuni katika mji wa Kalogi unaoshikiliwa na jeshi katika jimbo la Kordofan ,Kusini mwa Sudan lililenga shule ya chekechea na hospitali, na kusababisha vifo vya…
WITO WA MKUU WA MKOA WA NJOMBE RC MTAKA AKIWA KATIKA IBADA YA JUMAMOSI, KANISA LA WA ADVENTIST WASABATO NJOMBE MJINI. 1. Vijana wetu wa Kitanzania wana wajibu wa kulinda…
Gari lililoundwa na kampuni kubwa ya ulinzi ya Uturuki Havelsan, kupitia ushirikiano wa ndani nchini Misri, majukwaa yasiyokuwa na rubani yalizinduliwa katika maonyesho ya ulinzi mjini Cairo.
Takriban wanajeshi 20 wa Burundi wameuawa kwenye mapigano yanayoendelea mashariki mwa Kongo na miili yao kurejeshwa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura tangu mapigano hayo yalipozuka upya siku ya Jumatatu.
DAR ES SALAAM; KLABU ya Yanga imesema inajivunia kuwa na kikosi kipana kinachowawezesha kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza Dar es…
Marekani na Rwanda zimetia saini mkataba wa miaka mitano wa dola milioni 228 kwa sekta ya afya katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Haya ni kwa mujibu wa wizara ya…
KLABU ya Simba imesema itatumia kipindi cha mapumziko kupisha ratiba ya michuano ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zinazotarajiwa kuanza Morocco Desemba 21, mwaka huu kutafuta kocha wa kuinoa…
TABORA: MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Tabora (TUWASA) inadai wadau wa huduma ya maji Sh bilioni 4.2 kutokana na kutoa huduma hiyo kwa taasisi za umma…
DAR ES SALAAM: UZALENDO ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa lolote; ni nguvu ya ndani inayomfanya mtu kuthamini nchi yake, kuitumikia kwa moyo mmoja na kuipa kipaumbele katika maamuzi…
PWANI: MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesitisha kwa muda shughuli za kilimo kando ya Mto Ruvu hadi mvua zitakapoanza. Hatua hiyo imetokana na mabadiliko ya hali ya hewa…
DAR ES SALAAM: SIMBA SC and Azam FC meet at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam today in a Premier League match, both sides hoping to strengthen their…
DAR ES SALAAM: THIS week in East African football felt like a Bongo movie director secretly infiltrated CAF headquarters at night. He found the desk with the “Fixtures & Logic”…
PLO LUMUMBA anasema, angepewa nafasi ya kuishauri Tanzania, angesema yafuatayo 👉 Angemuambia Rais aitishe mkutano wa vyama vyote vya siasa vilivyo sajiliwa Tanzania, baada hicho kikao 👉Aitishe kikao Cha asasi…
DAR ES SALAAM: MACHAFUKO yaliyolikumba taifa Oktoba 29, 2025 yamesababisha maumivu ya mwili na roho kwa Watanzania. Baadhi wamepoteza wapendwa wao, wengine wamejeruhiwa, wapo waliopoteza mali zao huku wengi wakibeba…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema itaendelea kutoa ushirikiano katika kuhakikisha sekta ya michezo inaimarika zaidi na kutoa faida chanya kwa wanamichezo.
DODOMA: MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Profesa Abel Makubi ameeleza mafanikio makubwa 15 ya taasisi hiyo katika miaka 10 tangu ianzishwe. Mojawapo ni kupunguza rufaa kwa wagonjwa…
PWANI: JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limekusanya Sh bilioni 2.2 kutokana na faini za papo kwa papo kutokana na makosa ya usalama barabarani katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.…
MWANZA: TANZANIA’S journey toward universal access to clean, affordable and reliable energy has taken a major leap forward, with a new strategic partnership poised to transform some of the nation’s…
BAHRAIN: TANZANIA has retained the country’s global position as ‘The World’s leading Safari Destination,’ during the World Travel Awards 2025 Grand Finals. Tanzania was crowned with the coveted title in…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mohamed Bajaber amesimulia namna alivyokuwa anapitia wakati mgumu kipindi alipokuwa anasumbuliwa na majeraha na ilibaki kidogo aondolewe kikosini bila kuonja mechi ya mashindano.
CHAMA cha Makocha Tanzania (TAFCA) Mkoa wa Mwanza kimeungana na baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini wanaompigia chapuo kocha mzawa Selemani Matola kuaminiwa na Simba na kupewa jukumu…
DODOMA: MKUU wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali Jeremiah Katungu amewataka watumishi kutokuwa na hofu ya kustaafu. Alisema hayo juzi wakati wa sherehe ya kuwaaga wastaafu 28 wa Jeshi…
GEITA Gold inazidi kuchanja mbuga katika vita ya kupanda daraja kwenda Ligi Kuu msimu huu, huku ikiendelea kugawa vichapo kwa wapinzani na kutuma ujumbe kuwa imejipanga vyema kwa safari hiyo…
DAR ES SALAAM; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini hati ya makubaliano na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd yenye makao makuu yake Ufaransa kwa ajili…
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi ni kama haiwezi TRA United (zamani Tabora United) baada ya jana jioni kuendeleza rekodi mbovu mbele ya Watoza Ushuru hao kwa kukubali kichapo…
KIUNGO wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana bado anaweweseka na kipigo cha mabao 2-0 ilichopewa timu hiyo na Yanga, huku akilitaja bao la Prince Dube lililotokana na penalti kuwa ndilo lililowatoa…
DAR ES SALAAM: FRIDAY saw 73rd admission and enrolment of 774 advocates in Dodoma, a great step towards justice delivery, as they are duty-bound to help the courts of law.…
Maisha yanakuhitaji kujiamini. Huwezi kuaminika ikiwa wewe mwenyewe hujiamini.
Mwanaume huyo huyo anayemtongoza msichana mzuri kwa udi na uvumba, ndiye anayemchukulia kama...
Moja ya sifa kubwa ya wasanii wa jana, ni ubunifu. Walitumia akili sana kutengeneza wimbo au...