Over 19bn/- telecom project set to reach 2.8m Tanzanians
DAR ES SALAAM: MINISTER for Communication and Information Technology, Angellah Kairuki, has commended Tanzania’s telecommunications service providers for their continued cooperation with the government in ensuring wider, affordable and higher-quality…
Mkutano wa kilele wa TRT Children’s Media huangazia hatari za kidijitali
Mkutano wa kilele wa Istanbul unawaleta pamoja watunga sera, viongozi wa vyombo vya habari; Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan awataka watu wazima kuwajibika kwa mazingira ya mtandaoni ya…
Maombi nguvu ya ndoa iliyosahaulika kwa wenza
Tatizo kubwa katika ndoa za leo ni kwamba Mungu hatangulizwi mbele.
Umeyafikiria maisha ya familia ukifika miaka 60?
Unaweza kuishi uzeeni ukiwa na heshima kwa kujenga nguzo zako binafsi mapema.
Tanesco launches smart metre system
DAR ES SALAAM: TANZANIA Electric Supply Company (TANESCO) has launched a new smart metre system, marking a historic operational shift designed to eliminate the tedious manual entry of token codes.…
Spika Qalibaf: Marekani ina chuki ya kihistoria na mwanachuo wa Kiirani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa: Mfumo wa kibeberu kinara wake akiwa Marekani una chuki na uadui wa kihistoria dhidi ya mwanachuo wa Kiirani.
Government disburses 8.5bn/- to empower PWDs
MOROGORO: THE government, through the Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (RALG) has disbursed 8.5bn/- to 1,599 groups of persons with disabilities as part of economic empowerment initiatives…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hivi sasa mpira uko upande wa Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ira amesema iwapo Marekani itabadili mkondo wake, Iran nayo itakuwa tayari kupata matokeo ya haki na usawa.
Uhispania: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni kinyume na sheria za kimataifa
Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala wa Israel katika maeneo ya Wapalestina ni kinyume na sheria za kimataifa.
Amnesty International yaonya kuhusiana na hali ya Gaza
Katibu Mkuu wa Amnesty International sambamba na kueleza wasi wasi wake mkubwa kuhusu hali ya Gaza amesisitiza kuwa: Jamii ya kimataifa imejitenga kuiwajibisha Israel na haiangazii na kuzingatia tena hali…
Gen-Z wanavyokosoa misemo ya wahenga
Katika siku za hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kumeibuka mjadala kuhusu misemo...
Tuwaandae watoto wa kiume kuja kuwa wanaume
Ni wakati sasa wazazi, walimu, na viongozi wa dini wafufue jukumu la kuwaandaa watoto wa kiume...
Nimejenga kwa siri, namwambiaje mume wangu?
Mume wangu anafanya kazi nzuri na anapata mshahara na marupurupu ya maana, ila kila nikimwambia...
NBC Premier League leo Jumapili
NBC Premier League leo Jumapili Saa 11:00 ni Mzizima Derby, Simba SC watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa wanawaalika matajiri wa jiji AzamFC. Saa 1:15 usiku, Coastal Union ‘Mangushi’ watakuwa uwanja…
Serikali yasisitiza ufanisi kwa Taasisi za Umma
SERIKALI imetoa onyo kwa taasisi na mashirika ya umma yasiyoonesha ufanisi, ikisema yako hatarini kufutwa au kuunganishwa iwapo hayatachukua hatua madhubuti za kuboresha utendaji wao. The post Serikali yasisitiza ufanisi…
Ndani ya Boksi: Hii mishangazi ndo ile mishangingi
Mlimani City, najiburuza kilofalofa kwenye zile ‘tailizi’ zao. Shingo na macho ndo viungo...
TFS, NBAA wapanda miti Pwani
PWANI: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wameendesha zoezi la upandaji miti 600 katika Hifadhi ya…
Mwamini anafanya sasa kazi yake vizuri iliyomtuma kwa Chiku…Siwa alia kisa shughuli ya Mashavu kuharibika
Mwamini anafanya sasa kazi yake vizuri iliyomtuma kwa Chiku...Siwa alia kisa shughuli ya Mashavu kuharibika. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Tanzania yaibuka kidedea kwenye Tuzo za Utalii Duniani
Tanzania imeendelea kushikilia nafasi yake ya kimataifa kama 'nchi Inayoongoza duniani kwa...
Serikali yapinga shauri kufutwa sherehe za Uhuru
Wakati Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, ikitarajia kusikiliza shauri la maombi ya kibali cha...
Lifahamu kundi la ‘Worship House’ linalotamba na ‘Makomborero’
Muziki umeendelea kuwa lugha ya pekee duniani inayoweza kuunganisha watu bila hata kutamka...
Iran, Misri zaafiki kuendeleza mazungumzo ya kupanua uhusiano
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wameafiki juu ya kuuweko mazungumzo ya kupanua uhusiano wa mataifa yao.
🔴#MAGAZETI:SIKUKUU, MAANDAMANO HISIA MCHANGANYIKO / NI VITA YA IBENGA NA MATOLA ..DESEMBA 07, 2025
🔴#MAGAZETI:SIKUKUU, MAANDAMANO HISIA MCHANGANYIKO / NI VITA YA IBENGA NA MATOLA ..DESEMBA 07, 2025
Mtandao bila ukatili inawezekana
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H. Mwinyi, ametoa wito kwa jamii kushirikiana kutokomeza ukatili wa kijinsia…
Titi Mohammed: Nguzo ya wanawake katika mapambano ya Uhuru
MCHANGO wa wanawake katika harakati za ukombozi wa Tanganyika hauwezi kutajwa bila kulitaja jina la Bibi Titi Mohammed, mwanamke aliyesimama imara kuiamsha jamii na kusukuma mbele harakati za kisiasa za…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 07, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 07, 2025
Jumapili, 07 Disemba, 2025
Leo ni Jumapili mwezi 16 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria sawa na 7 Disemba 2025 Miladia.
Kamari kubwa ya Israel Ghaza yashindwa vibaya kwa kuangamizwa Abu Shabab
Kuangamizwa kiongozi wa genge la kigaidi na mamluki wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, ni kufeli njama za kijasusi za utawala huo huko Ghaza na ni uthibitisho kwamba njama za…
Je, ziara ya Putin nchini India inamaanisha kwamba New Delhi imepuuza vitisho vya Trump?
Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya ziara nchini India kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
Imarati yawalipa magaidi mamilioni ya dola kumuokoa mwanamfalme
Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) imewalipa magaidi wa al-Qaeda zaidi ya dola milioni 23 kama kikomboleo cha mwanamfalme aliyekuwa ametekwa nyara na magaidi hao huko Mali, magharibi mwa Afrika.
Mamia waandamana Mogadishu kumlaani Trump kwa kuwatukana Wasomali
Mamia ya watu wamemiminika mitaani huko Mogadishu mji mkuu wa Somalia kuonesha hasira zao dhidi ya rais wa Marekani Donald Trump aliyewatukana Wasomali na kuwaita "takataka."
Mamluki wa Saudia na Imarati watwangana Hadhramaut Yemen
Muungano wa Kikabila wa Hadramaut wa vibaraka wa Saudi Arabia umeanzisha mashambulio makali dhidi ya vibaraka wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) ukitangaza kwamba kundi la Imarati limekanyaga makubaliano…
Zanzibar, WHO set joint health agenda
ZANZIBAR: THE Zanzibar Ministry of Health has reaffirmed its commitment to strengthening the health sector by ensuring national priorities align with the World Health Organisation (WHO) workplan. The goal is…
Matangazo ya Jioni: 07.12.2025
Umoja wa Afrika umelaani vikali jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Benin na ukawataka wanajeshi kurejea katika kambi zao. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anatazamia kuingia katika awamu…
Matangazo ya Mchana: 07.12.2025 .
Urusi imeupongeza mkakati mpya wa usalama wa kitaifa wa Marekani na kuutaja kuwa hatua chanya kwa mahusiano baina ya nchi hiyo mbili. Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anatarajiwa kukutana na…
Underperforming State firms risk merger, dissolution
DAR ES SALAAM: THE government has issued a tough warning to underperforming public institutions, cautioning that those failing to improve swiftly may be merged or dissolved. Speaking to reporters after…
TPA, AGL seal Bagamoyo Port deal
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Ports Authority (TPA) yesterday signed a Memorandum of Understanding (MoU) with Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd, a subsidiary of MSC headquartered in France, for…
‘Banking sector stable’
DAR ES SALAAM: TANZANIA’s banking sector has continued to show strong and steady growth, with rising assets, improved liquidity and a significant decline in non-performing loans, a move that reflects…
KIPINDI MAALUM | Karibu Tamthilia ya Picha Yangu
KIPINDI MAALUM | Karibu Tamthilia ya Picha Yangu #SinemaZetuHD #HakikaNiZaKwetu #AzamTV
Namungo, Geita Gold zatawala tuzo Ligi Kuu, Championship
Namungo FC imezoa tuzo mbili za Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Novemba ikibebwa na mwenendo mzuri...
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekamata shehena ya vitu mbalimbali vilivyoporwa katika makazi ya watu, viwandani na ma…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekamata shehena ya vitu mbalimbali vilivyoporwa katika makazi ya watu, viwandani na maeneo mengine, ikiwemo mashine mbili za ATM mali ya Benki ya CRDB…
Huu ulikuwa wakati mgumu kwa Aziza na wadogo zake Jemo, Zeliha, Fidan, Balim na Samet ambao wanashuhudia wazazi wao Rifat na Bal…
Huu ulikuwa wakati mgumu kwa Aziza na wadogo zake Jemo, Zeliha, Fidan, Balim na Samet ambao wanashuhudia wazazi wao Rifat na Bala wakiuawa na Yavut aliyejaa wivu wa mapenzi unaogharimu…
#HABARI: Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Kihongosi, amewataka Watumishi wa Umma kutek…
#HABARI: Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Kihongosi, amewataka Watumishi wa Umma kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia utu na muda na kutotegemea kwamba viongozi…
TASAC yatwaa tuzo ya umahiri uandaaji wa hesabu taasisi za Serikali 2024
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeibuka mshindi wa pili tuzo ya umahiri katika...
Kuna aina nyingi za utalii duniani huku maarufu zaidi ukiwa utalii wa kutazama asili ya mazingira ‘nature’ hata hivyo aina hii y…
Kuna aina nyingi za utalii duniani huku maarufu zaidi ukiwa utalii wa kutazama asili ya mazingira 'nature' hata hivyo aina hii ya utalii inapoenda mbali zaidi na kuwafanya binadamu kuishi…