#HABARI: Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso, usiku wa kuamkia leo na kuteketea kwa moto ambapo ajali hiyo imehusisha basi aina ya Mitsubish Fuso mali ya Kampuni ya Mawio lenye namba za usajili T 162 DMD, likitokea Morogoro kuelekea Mombo, mkoani Tanga na lori lenye namba za usajili T 956 ELU lenye tela namba T 828 ELW, katika eneo la Maseyu, Kata ya Mikese barabara ya Morogoro – Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.