Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Handeni mkoani Tanga zimeendelea kusababisha athari kwa wananchi wilayani humo baada ya idadi ya nyumba zilizoezuliwa na mvua hiyo inayoambatana na upepo mkali kuongezeka siku hadi siku huku mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Iddi Hossen mwenye umri wa miaka 21 akifariki dunia baada ya kuzama kwenye bwawa la maji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *