Watu kumi wamefariki dunia na wengine 23 Kujeruhiwa kwenye ajali ilitoka usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata Wilaya ya MorogoroBarabara kuu ya Morogoro Dar es salaam ajali iliyohusisha basi la abiria aina ya Mitsubish Fuso kugongana uso kwa uso na Lori la mizigo na kusababisha magari yote kuteketea kwa moto.