Katika maisha ya kila siku unahitaji kuwa na mipango ambayo ni muongozo wako wa kila siku wa maisha yako. Ili uweze kuwa mtu wa kuweka malengo lazima ujifunze kuwa mtu wa kukubali kubadili mfumo wa maisha amabao haufanyi maisha yako kuwa mazuri.
Abdillah Mlapakolo ambaye ni Mwanasaikolojia anasemma ili kujifunza kuwa mtu wa kuweka malengo ni lazima ujue una kusudi gani la maisha yako.
✍Ibrahim kilumbo
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates