Siku chache baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa taarifa ya makusanyo ya mapato 2025 – 2026 ongezeko la mapato ya serikali, jumuiya ya wafanyabiashara nchini wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais MH. DK. SAMIA SULUH HASSAN kwa kuweka utaratibu mzuri na rafiki wa ukusanyaji kodi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *